Showing posts with label Siasa. Show all posts
Showing posts with label Siasa. Show all posts

Wakati Vibaraka wakiendelea kujiengua wenyewe CHADEMA, Katibu wa Madaktari Ajiunga na CHADEMA kutetea maslahi ya Fani hiyo. Wakati Vibaraka wakiendelea kujiengua wenyewe CHADEMA, Katibu wa Madaktari Ajiunga na CHADEMA kutetea maslahi ya Fani hiyo.

Aliyekuwa Katibu na baadaye President-Elect wa Chama cha Madaktari Tanzania, MAT, Dk Rodrick Kabangila ametangaza rasmi kujivua na kujiudh...

Read more »
18:44

MANGE KIMAMBI "DO YOU THINK ZITTO NA WENZIE WATAUNDA CHAMA CHAO AU WATAKUJA CCM?" MANGE KIMAMBI "DO YOU THINK ZITTO NA WENZIE WATAUNDA CHAMA CHAO AU WATAKUJA CCM?"

"So what do you think? Zitto na wenzie wataunda chama chao au wataingia kile chama kizuuuuuuuuuuuuuuriiiiiiiiiiii kinachoitwa CCM?...

Read more »
18:19

SAKATA LA KUBAKA: KAPUYA AACHIWA MANYOYA NA CHAMA CHAKE SAKATA LA KUBAKA: KAPUYA AACHIWA MANYOYA NA CHAMA CHAKE

WAKATI Jeshi la Polisi likiendelea kukwepa kumkamata Mbunge wa Urambo Magharibi, Prof. Juma Kapuya (CCM) anayekabiliwa na tuhuma za kumbaka...

Read more »
21:21

JK amuweka kitanzini Profesa Kapuya! aviagiza vyombo vya dola kutojali cheo! JK amuweka kitanzini Profesa Kapuya! aviagiza vyombo vya dola kutojali cheo!

RAIS Jakaya Kikwete ameviagiza vyombo vya dola kuhakikisha vinamkamata mtu yeyote bila kujali cheo, atakayebainika kumbaka au kumuoa mwan...

Read more »
04:02

WANANCHI WA JIMBO LA ARUSHA MJINI WAFUASI WA CHADEMA WAMPINGA HADHARANI KWA MABANGO MBUNGE WAO GODBLESS LEMA WANANCHI WA JIMBO LA ARUSHA MJINI WAFUASI WA CHADEMA WAMPINGA HADHARANI KWA MABANGO MBUNGE WAO GODBLESS LEMA

Soma Bango hilo, wafuasi wa CHADEMA jijini Arusha ,walioambatana na Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Monduli Bw. Amani Salenga wakionyesha...

Read more »
03:57

Kapuya hakamatiki....atua jijini Dar kwa bashasha, polisi wamgwaya! Kapuya hakamatiki....atua jijini Dar kwa bashasha, polisi wamgwaya!

HATIMA ya Mbunge wa Urambo Magharibi Juma Kapuya (CCM), anayetuhumiwa kutishia kumuua binti anayedaiwa kumbaka, amerejea nchini jana akit...

Read more »
03:54

Baregu aitahadharisha Chadema kuhusu Zitto Soma Zaidi Baregu aitahadharisha Chadema kuhusu Zitto Soma Zaidi

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Profesa Mwesiga Baregu amewataka viongozi wa chama hicho kutafakari na kudhibiti madhara yanayoweza kuk...

Read more »
00:15

WARAKA HALISI WA MKAKATI WA MADILIKO 2013 CHADEMA UTATA MTUPU WARAKA HALISI WA MKAKATI WA MADILIKO 2013 CHADEMA UTATA MTUPU

Utata mkubwa umeibuka kuhusu waraka halisi wa ‘Mkakati wa Mabadiliko 2013’ uliosababisha Zitto Kabwe kuvuliwa wadhifa wake wa Naibu Katibu...

Read more »
10:13

Status 9 zilizoandikwa fB na Peter Msigwa na Joseph Mbilinyi kuhusu kinachoendelea CHADEMA Status 9 zilizoandikwa fB na Peter Msigwa na Joseph Mbilinyi kuhusu kinachoendelea CHADEMA

Kutoka kwenye facebook page za Mbunge Peter Msigwa wa Iringa mjini 92.9 na Joseph Mbilinyi wa Mbeya mjini 87.8.

Read more »
17:41

 TETESI:ZITTO AMBURUZA HENERY KILEWO POLISI KWA KUSAMBAZA WARAKA ONLINE TETESI:ZITTO AMBURUZA HENERY KILEWO POLISI KWA KUSAMBAZA WARAKA ONLINE

WAKATI Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikimwandikia Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe barua ya kumtaka ajieleze dhidi ...

Read more »
04:37
 
Top