Kwakweli sasa imekuwa kero kwa siku napata simu hata hamsini na wote wakitaka mimi niwe mpenzi wao, wote wakipiga huanza kunisifia na kuniahidi mambo makubwa. Mimi naogopa kwani sielewi yupi mkweli au yupi muongo. siwezi kubadili namba kwani nimeitumia hata kwenye cv yangu pia nimeitumia kwa muda mrefu sana Sijui nifanyaje, nikipita mtaani watu hunishangaa hadi nakosa kabisa amani. Ushauri jamani..!! NO NO NO NOMA SANA...!!
BOFYA HAPA... NGAMA MEDIA>>>JIUNGE NA PAGE YETU HAPA<<<