Iangalie polepole hii VIDEO
KANYE WEST NA KIM KARDASHIAN WAJIACHIA UCHI KTK VIDEO YAO MPYA
Kanye West ametoa video yake ya Bound 2 kwa mara ya kwanza alivyoenda kwenye show ya Ellen ambapo video model wa video hiyo ni Kim Kardashian na kama unakumbuka zilitoka story kwamba Kim amefanya hiyo video akiwa Uchi wa mnyama na kuongeza hamu ya watu wengi kuisubiiri...Hizi ni picha za video hiyo pamoja na video yenyewe.
Iangalie polepole hii VIDEO
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
Iangalie polepole hii VIDEO