Soma Hizi

ZEY B AFARIKI DUNIA HUKO NCHINI MAREKANI SOMA CHANZO HAPA...ZEY B AFARIKI DUNIA HUKO NCHINI MAREKANI SOMA CHANZO HAPA...

Jumuiya ya watanzania Washington Dc inasikitika kutangaza kifo mpendwa wao Zainab Buzohera Dullah au maarufu kwa jina la Zay B aliyefariki dunia saa mbili za usiku wa Jumamosi Januari 4 ,2014. Kwa mujibu wa mume wa marehemu  Zainab alikutwa na umauti huko Doctors Community hospital Lanham Maryland …

Read more »
05Jan2014

Breaking:Watu 10 watupwa kwenye maji na kuachwa baada ya boti ya Kilimanajaro 2 kupigwa na dhoruba...!!!Breaking:Watu 10 watupwa kwenye maji na kuachwa baada ya boti ya Kilimanajaro 2 kupigwa na dhoruba...!!!

Boti ya Kilimanjaro 2 iliyokuwa ikitokea Pemba kuelekea Unguja imepigwa dhoruba na kunusurika kuzama shuhuda ameongea na chumba cha habari Clouds Fm na amesema boti hiyo ilipofika Nungwi ilizama mbele na kunyanyuka nyuma,watu waliokuwa mbele wote wameachwa hapo hapo baharini mpaka sasa manahod…

Read more »
05Jan2014

MFAHAMU DESIGNER MTANZANIA ALIYE MVALISHA BEYONCE KWENYE MOJA YA SHOWS ZAKE..!!MFAHAMU DESIGNER MTANZANIA ALIYE MVALISHA BEYONCE KWENYE MOJA YA SHOWS ZAKE..!!

Anajulikana kwa jina la Christina Mhando ni designer makazi yake yaliyopo jijini london,ame-graduate Kent University with an honours degree, mwaka 2002. Baada ya masomo yake ,Mhando alipata experience yakufanya kazi na designers wakubwa wa nguo za kike ulaya.Na ujuzi huo aliopata,Mzaliwa huyo wa…

Read more »
04Jan2014

MIAKA 8 KWENYE MPIRA NA CLAB 3 KUBWA NCHINI HAYA NDIYO MAJUMBA NA MAGARI YA MRISHO NGASSA MIAKA 8 KWENYE MPIRA NA CLAB 3 KUBWA NCHINI HAYA NDIYO MAJUMBA NA MAGARI YA MRISHO NGASSA

SASA ni miaka nane tangu aanze kucheza soka ya ushindani mwaka 2005 katika klabu ya Kagera Sugar ya Bukoba, lakini kwa namna alivyopanga vyema karata zake, Mrisho Khalfan Ngasasa anafurahia maisha ya mpira. Huwezi kumuita tajiri, lakini huwezi kuacha kumpa heshima miongoni mwa wachezaji wa kizazi…

Read more »
04Jan2014

HAYA NDIO USIYOYAJUA KUHUSU NEY WA MITEGO...HAYA NDIO USIYOYAJUA KUHUSU NEY WA MITEGO...

Ney wa mitego ni mmoja wa wasani wanaokubalika sana hapa Tz kwa kutokea ku-change game zima la hihop,toka ujio wake akiwa bado msanii mchanga,aliweza kukua kwa kasi sana na baadhi ya nyimbo zilizomfanya azidi kukaa muda mrefu kwenye media za hapa bongo,zikiwa ni pamoja na muziki gani aliomshirikisha…

Read more »
04Jan2014

VIDEO: DIAMOND PLATNUMZ feat DAVIDO - MY NUMBER 1 REMIX (KIONJO) VIDEO: DIAMOND PLATNUMZ feat DAVIDO - MY NUMBER 1 REMIX (KIONJO)

  Hiki ndiyo sehemu ndogo ya remix ya video ya Diamond platnumz aliyomshirikisha DAVIDO kutoka Nigeria..itazame hapa chini… Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 …

Read more »
02Jan2014

Zitto aweka pingamizi Mahakamani kuzuia Kikao cha Kamati Kuu keshoZitto aweka pingamizi Mahakamani kuzuia Kikao cha Kamati Kuu kesho

Zitto Kabwe Hoja yake ni kupinga kuitisha kamati kuu kabla shauri lake kusikilizwa na Baraza Kuu. Anadai anataka mahakama iagize kamati kuu kutojadili suala lake mpaka baraza kuu likae kuamua rufaa yake. Wanasheria wa Chama wakiongozwa na Tundu Lissu wanaenda Mahakamani kusikiliza pingamizi hilo a…

Read more »
02Jan2014
 
Top