Dokta Kamdege mtaalamu wa Mitishamba na amekuwa kivutio kikubwa kwa mastaa waheshimiwa na wasanii mbalimbali Afrika mashariki na kati, huku akisaidia watu kupata pesa, kuolewa au kuoa kufanikiwa kwenye biashara nk.


Na Mwandishi Wetu
Mganga mashuhuri nchini na mwenye sifa kubwa Dk Kamdege amesema kuwa mwanamuziki Rich Mavoko atamfunika vibaya mwanamuziki Diamond  kimafanikia ya muziki ifikapo mwaka 2014.
Akiongea na blog yetu kwa njia ya simu toka Shinyanga alisema" Mwaka 2014 utakuwa wa mafanikio kwa mwanamuziki Rich Mavoko na huenda akampoteza vibaya mwanamuziki Diamond" Alisema Kamdege ambae ni mtaalamu wa miti shamba.
Aidha Dokta Kamdege ambae ni maarufu kwa kuwapatia umaarufu na pesa wanamuziki, wasanii wa bongo movie pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali huku akitumia miti shamba tu kumpatia mtu umaarufu pamoja na mafanikio sio kama madokta wengine wanavyofanya kuwatapeli.
Hata hivyo Dokta Kamdege amekuwa kivutio kikubwa sana kwa wananchi wa Tanzania na nje ya 

Tanzania ili na humsaidia mtu hata kama akiwa nje ya nchi. Rich Mavoko ambae anatamba na wimbo wa Roho Yangu licha ya kutabiliwa hivyo na Dokta huyo lakini nyota yake imeonekana kuwa juu na kama vyombo vya habari vikimpa nafasi basi atafunika. 

SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
 
Top