Wanawake wa Dar wana Viwango
vyao vya Hela..
Ukiwa unampa 50,000-90,000
utakuwa unaitw aJina lako tu,
Goodmorning Kelvin..Hallow Kelvin
How is your Day...Goodnite Kelvin
Ukiwa unampa kati ya 100,000 na
150,000 utakuwa unaitwa
DEAR...Morning Dear..Umeamkaje
Dear..Dear Umekula??Usiku mwema
Dear usisahau kuniamsha Asubuhi
Ukiwa unatoa kati ya 200,000-300,000 hapa utakuwa
unaitwa BABY...Baby Hows ur
day..Baby naumwa kweli leo...Baby
naenda Mwenge see u later.
Ukihonga 300,000 na kuendelea
hawa ndo wanaitwa HUBBY AKE...Utapendwa wewe hadi
ushaangae...Kila kitu Hubby
Ake...Hubby nimejikwaa...Hubby ndo
nafunga mlango...Hubby kuna
Mende chumbani njoo tulale
wote...Hubby hivi unanipenda??NA swali lao KUU,Hubby hivi utanioa
lini??
Chagua jina unalotaka...Mahaba ya
siku hizi ni kama MENU ya MPESA,
Unajihukumu mwenyewe
Wengi mtakuwa mnaishia kuitwa DEAR na BABY tu...Tikisa Wallet
kidogo na wewe kabla hujafa uitwe
HUBBY AKE
NB:KAMA HUNA HELA,WANAWAKE WAZURI UTAISHIA KUWAITA SHEMEJI