Zifuatazo hapo chini ni picha za mpenzi wake Paul Walker wa muda mrefu, anaitwaJasmine Pilchard-Gosnell, picha hizi ni za kwanza za mwanadada huyu baada ya kifo cha ghafla cha mpenzi wake Paul walker ambaye amecheza muendelezo wa filamu ya Fast and Furious 1 mpaka 6, sehemu ya 7 ya filamu hii ipo katika uandaaji na hapo awali ililipotiwa itaachiwa July 2014 lakini kutokana na kifo cha Paul Walker filamu hiyo itachelewa kutoka.











Picha zote kwa hisani ya TMZ
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
 
Top