Mchezaji Cristiano Ronaldo ametoka na mwanae wa kiume mwenye umri wa miaka mitatu “Cristiano Junior” wakizindua museum huko Madeira Portugal Jumapili iliyopita.
Mtoto huyo sio kawaida kuonekana mara nyingi hasa sehemu kama hii ambayo inavuta camera nyingi za media tofauti.
Musuem hiyo ilizinduliwa na Ronaldo akisaidiwa na mwanae na itakua na masanamu,tuzo,makombe na jezi zake kwenye maisha yake ya soka.