Simba mara nyingi huwaonea wanyama wanaokula nyasi lakini siku nyingine mambo yanamgeukia kama hivi.
Kwenye video hii Nyati mmoja anavamiwa na Simba jike lakini Nyati
wenzake wawili wanakuja kumsaidia na Simba huyo anajikuta kwenye wakati
mgumu.