jaguar kenya 
Mwanamuziki maarufu toka 254 Jaguar alionekana akiendesha Gari lake jipya  aina ya Jaguar kama lilivo jina lake wikiendi iliyopita kwenye concert lililoandaliwa na kampuni moja ya simu kwenye uwanja wa Kasakani.
1 
Mwimbaji huyo anaefahamika sana kwa magari ya bei mbaya anayoendesha aliwashangaza maelfu ya watu waliokazana kwenye tamasha hilo wakati alipoitwa jukwaani ambapo alishuka toka kwenye gari hilo na kupanda jukwaani mara moja.
Jaguar huyuhuyu mapema mwaka huu 2013 aliripotiwa kununua ndege binafsi.
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
 
Top