5 . Everly Tatum

ht_channing_tatum_daughter_jef_130617_wblog

wazazi: Channing Tatum and Jenna Dewan-Tatum
Actor maarufu duniani aliyecheza movie inayo-make Headlines Ulimwenguni “White House Down”ajulikanaye kwa jina La Channing Tatum walipata mtoto wa kike mapema mwaka huu mwezi wa tano tarehe 31,aliyezaa na  mke  wake aitwaye Jenna Dewan-Tatum,waapenzi hawa walitangaza ujio
wa mtoto wao huo kwa kuandika : “Jenna Dewan-Tatum and Channing Tatum are thrilled to announce the birth of their daughter, Everly Tatum, who was born on May 31st in London.”
 MAKUBWA HAYA BLOG
4 . Klay Anthony Rooney
rooney-baby

Wazazi: Coleen Rooney and Wayne Rooney
Mwanasoka maarufu duniani anayechezea timu ya Manchester united ajulikanaye kama Wayne Rooney alimkaribisha mtoto wao duniani kwa kutweet picha ya mtoto wao huyu kwa kusema” Who’s betting he’ll be as good a footballer as his dad?’mtoto huyu ni wapili  sasa  aliyezaa pamoja na mke wake aitwaye Coleen Rooney .mtoto huyo alizaliwa tarehe 20 mwezi wa tano mwaka huu
3 . Sebastian Taylor Thomaz
amber wiz khalifa
Wazazi: Amber Rose and Wiz Khalifa
Mwanammitindo maarufu mwenye mvuto duniani ajulikanaye kwa jina la Amber Rose pamoja na mwanamuziki ajulikanaye kwa jina la Wiz Khalifa ndio wazazi wa mtoto aitwaye Sebastian.
Rafiki huyu wa kike wa zamani wa mwanamuziki Kanye West,Amber na mchumba wake wa sasa Wiz Khalifa kwa kusema  “Happy Birthday!!! Everyone welcome this perfect young man into the world.” ,katika tuzo za Grammy mwaka huu Wiz Khalifa alisema alitamani mchumba wake huyo angebaki mjamzito milele. Mtoto huyo alizaliwa tarehe 21 mwezi wa pili mwaka huu 2013.
2 . Milan Piqué Mebarak
shakira-milan-pique

Wazazi: Shakira and Gerard Piqué
mwanamuziki  Shakira na mchezaji soka maarufu wa klabu ya F.C Barcelona ndiyo wazazi wa mtoto huyu,mapema mwaka huu mwezi wa kwanza Shakira alitangazia ulimwengu toka alipokuwa mjamzito mapema mwezi wa kwanza kutweet zako akisema “I’d like to ask you all to accompany me in your prayers on this very important day of my life.”baada ya mda kidogo ali-confirm kwamba amepata mtoto wakiume ajulikanaye kwa jina la millan,aliyezaliwa January 22.


1 . North west
North-West-Kim-Kanye-06
wazazi: Kanye West  and Kim Kardashian
Mwanamitindo maarufu,akiwa anajulikana ni mmoja wa wanawake wenye influence kubwa duniani ya fashion pamoja na mchumba wake mwanamuziki ajulikanaye kama Kanye West hivi karibuni walipata mtoto wakike waliompa jina la North West.


SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
 
Top