Hawa wote ni wasanii waliowahi kupitia fani ya uigizaji hapo mwanzo,pia wnauwezo mkubwa sana wakuimba na kudance kitu ambacho ni kivutio kikubwa kwa mashabiki haswa wanapohuzuria katika show zao.

Shilole ni msanii mkubwa Jijini Dar aliyeingia katika sanaa a muziki kwa hit ya nyimbo iitwayo “nyumba ya kupanga” aliyomshirikisha Q-chief, ni msaniii anaye-hit na ngoma yake mpya iitwayo “Nakomaa na jiji” ambayo inahit sana katika media mbali mbali hapa nchini.Kwa mtu wakawaida ukisema shilole tu picha yakwanza inakujia ku-imagine anapocheza cause anauwezo mkubwa sana wakudance mbali na uimbaji wake,ni uhodari wake huo wakudance kitu kilichopelekea  hadi kupewa jina na mashabiki wake aka “she roll it”.



Snura pia naye ni mkali wa kuimba sana ,ngoma ambayo iliyomtambulisha kwenye sanaa hii ya muziki iitwayo “shoga yake mama” ngoma ambayo ilikuwa na-touch za Wema Sepetu,katika swala la ku-dance hayuko nyuma,anahit na ngoma yake kali hivi sasa inayozidi kumake headlines naye kwenye media ikiwemo nimevurugwa na majanga, pia anakipaji chakufanya maneno yazidi kutumika kupitia nyimbo zake cause kila mtu sasa unamkuta akitumia maneno kama majanga na nimerugwa,kitu ambacho kinamfanya ajulikane na watu zaidi popote aendapo na kupata mashabiki wengi.

WEWE MDAU UNAONAJE?
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
 
Top