SISTA AMWAGA RADHI KWENYE MKUTANO WA CCM HUKO SONGEA, RUVUMA
Sista Maria Lumbangura wa Mtakatifu Benedict akigalagala chini akiwa na mwanamke mwenzake wakati Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulharaman Kinana akiwahutubia wakazi wa Kijiji cha Kisangu wilayani Songgea katika mkutano wa hadhara uliofanyika jana
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO