reginald mengi
Bilionea reginald mengi ameandika
twitter jana kuwa kama tunalitakia amani hili taifa basi ni lazima watu
flani wapelekwe milembe kwa nguvu na sio kwa hiari yao.Je,unadhani mengi anataka watu gani wapelekwe milembe na kwa sababu gani?? Karibuni