KUTOKANA NA SHOW YA JANA KUFANYA VYEMA SANA TIMU NZIMA YA THE CHOICE IMEBAINI VITU KUMI MUHIMU VILIVYO CHANGIA SHOW HIYO KUFANA KWA ASILIMIA MIA.

1-KUJALI MUDA
HAKIKA SWALA LA MDA WALIKWENDA NALO BILA WASIWASI WOWOTE.KWANI WALIWEZA KUWAONGOZA VYEMA WASANII WOTE WALIO TAKIWA ,KUPANDA JUKWAANI. KWA MUDA ULIO TAKIWA HASWAA

2-MPANGILIO BORA
MPANGILIO MZIMA WA BURUDANI HAKIKA ULIPANGILIWA VYEMA NDO MAANA MAMBO YOTE YALIKWENDA KAMA ILIVYO PANGWA BILA MATATIZO YEYOTE.
 
3-SOUND BORA

KWA UPANDE WA SOUND ILIKUWA BORA SANA KWANI ILISIKIKA VYEMA NA KUWAFANYA WASANII KUFANYA SHOW ZAO KWA UFANISI MKUBWA
 
4-ULINZI WA KUTOSHA 
KWA SWALA LA ULINZI NDO USISEME ,KULIKUWA NA ASKARI WENGI SANA NDANI NA NJE WALITAPAKAA MAENEO YOTE ILI KUHAKIKISHA USALAMA UNAKUWA WA KUTOSHA

5-WATANGAZAJI WALIMUDU VYEMA
HAPA HUWEZI KUMSAHAU MJUKUU WA AMBUA AKIWA NA T-BWAY WALIFANYA YAO YOTE KWA UFANISI MKUBWA SANA

6-UTARATIBU MZURI WA KUINGIA UWANJANI
HAKIKA KULIKUWA NA UTARATIBU MZURI SANA WA KUINGIA UWANJANI..KUKAGULIWA KWA KILA MTU ALIYE KUWA ANAINGIA
 
7-UTARATIBU MZURI WA UEGESHAJI  MAGARI
UBORA KATIKA MPANGILIO MZIMA WA KUEGESHA MAGARI..MAENEO HAYO
 
8-JUKWAA SAFI
JUKWAA LILIKUWA BORA SANA..HATA MTU ALIYE KUWA MBALI ALIWEZA KUONA KWA UHAKIKA

9-WASANII WOTE KUIMBA LIVE NA BAND STEJINI
HII NDO ILIKUWA BURUDANI HASWAA BAADA YA WASANII WOTE KUIMBA KWA LIVE KWA BAND

10-DJ..KUJIPANGA VYEMA
HAPA HUWEZI KUMSAHAU DJ MAFUVU ALIFANYA VITU VIKUBWA SANAHIYO JANA KWA KUONGOZA VIZURI BURUDANI.

TUNAWASHUKURU SANA TIMU NZIMA YA THE CHOICE KWA UCHAMBUZI HUU..ULIO TOKANA NA SHOW WALIYO FANYA P-SQUARE PALE KATIKA VIWANJA VYA  LEADERS JIJINI DAR ES SALAAM.
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
 
Top