Most of the organizations kuna Intranet badala ya internet which means there is no access ya other sites apart from the internal network (internet). but kwa kutumia njia hii una uwezo wa kuchat na rafiki yako in the same office kwa kutumia command. jinsi ya kufanya, fungua notepad then andika hizi codes:
kopi weka katika Note Pad maandishi haya kisha ndio uweke messenger.bat kisha u Save kwa All files.

@echo off
:A
Cls
echo MESSENGER
set /p n=User:
set /p m=Message:
net send %n% %m%
Pause
Goto A








This will show you how to create a cmd messenger so you can send pop-up messages to other people.

And after you are finish you can now send msgs to your self. NOTE: must enable it on other pcs to make it send msgs to the other pc. 

SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
 
Top