Wiki kadhaa zilizopita msanii Linah alifunguka na kudai kuwa anatamani kuitwa mama kwani umri umeshaenda, matamanio hayo hayajampata Linah pekeyake kwani msanii wa pili kupokea mkwanja mwingi kwenye show Tz Ommy Dimpoz naye amefunguka kuwa anatamani sana kuitwa Baba hasa akipata mtoto wa kike..
Tazama alchoandika Ommy Dimpoz kupitia akaunt yake ya Instagram


SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
 
Top