Jamaa mmoja mwenye umri wa miaka 34 mkazi wa Faaman karibu na Mankranso kwenye kata ya Ahafo Ano iliyopo Kusini mwa eneo la Ashanti, ***** wake iling'atwa na na nyoka wakati alipokuwa anapata haja.


Kwabena Nkrumah alikuwa amekaa msalani na gafla alisikia maumivu makali kwenye sehemu ya juu ya **** wake.

Alipojaribu kuangalia kwa ndani zaidi kwenye choo hicho kidogo azimie mara baaada ya kumuona nyoka mkubwa mweusi ambaye alikuwa akitaka kuking'ata kichwa chake kwa mara nyingine tena.


Kuona hivyo jamaa ikabidi apige kelele kutaka msaada na kisha kukimbia toka chooni,



SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
 
Top