Download na install Youwave au BlueStarks kwenye pc yako, ni mobile emulators zitakozokuwa na interface ya android kisha utaona apps, whatsapp imo ndani chagua fanya config kama kwenye simu na utakuwa tayari kuanzakutumia. Tahadhari hakikisha computer yako ina ram kuanzia 2 Mb na Graphic Accelerator ziwe update.Thanks kama hujaelewa tupia comment upate ufahamu zaidi.

Hii ni csreenshot ya YouWave
YouWave for Android screenshot 2


Hii ni screenshot ya BlueStacks

Kwa wale wapenz wa whatsapp hapa ni mpango.


SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
 
Top