
Nelson
Mandela kutokana na historia yake ya harakati za kutokomeza ubaguzi wa
rangi nchini South Africa alivutia watu wengi sana ikiwemo hadi watu
sana hadi mashuhuli duniani walifika South kumtembelea mzee huyu. Hizi
ni baadhi ya picha ambazo alikutana na watu marufu kutoka sehemu
mbalimbali duniani.