Halloooooo members,
jamani siki moja nimeachiwa simu na mchumba wangu nikitaka kuitumia cheka vodacom aliyojiunga kumpigia ndugu yangu, baada ya kumaliza kupiga simu nikatazama meseji za mchumba (curiosity), duh kuna meseji nyingi sana za wanaume wanamtongoza wengine appointment, wengine wanamsifia, wengine missing u nk nilichoka nikagugumia life likasonga, siishi naye(note that). sasa nikasema let me try to visit her inbox siku nyingine, majanga yakawa yaleyale.....nikamuuliza anajibu tu kwamba yeye ni mwanamke so kutongozwa ni kitu cha kawaida sana.hapapana usalama wadau?


SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
 
Top