Kampuni moja ya kutoka nchini Poland inayojishughulisha na utengenezaji wa Majeneza na kutoa huduma mbali mbali za mazishi imetoa kali ya kufungia mwaka na kuukaribisha mwaka ujao baada ya kutoa kalenda ambazo zinawapigia promo biashara zao huku kukiwa na picha za wadada wakiwakama walivyozaliwa.

Angalia Picha zaidi hapa chini:-

 
VIA SwahiliOne
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
 
Top