Rekodi ya busu refu la mdomo kwa mdomo (denda) ilikuwa inashikiliwa na Nontawat Jaroengsorninpose na Thanakorn Sittiamthong raia wa Thailand walinyonyana ndimi kwa masaa 50 na dakika 25 na sekunde 1.
Rekodi hii imevunjwa hatimaye na wapenzi wawili Ekkachai na Laksana Tiranarat na hawa ni raia wa Thailand.... Wamenyonyana ndimi kwa masaa 58 na dakika 35 na sekunde 58.

Je nawe unataka kuvunja rekodi . . . Basi baadhi ya masharti ni kuhakikisha unanyonya mfululizo bila lips kuacha kugusana... Zikiachana tu ndo mwisho wako unaanza upya.. Halafu uwe na umri juu ya miaka 18.
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
 
Top