Hii haina kudanganya kabisa, ni tukio la aina yake ambalo halijawahi kutokea na kushuhudiwa na maelfu ya watu ambapo Mmoja ya wanyama wanaokimbia zaidi Duniani Duma kubaki na Bumbuwazi baada ya kuachwa mbali katika mashindano ya mbio ambapo mnyama huyo alishindanishwa na Binadamu.
Uwezo huo mkubwa wa binanadamu kuonekana amefanikiwa kumshinda Duma umefanywa na Shirika la NatGeo ambao wanahusika na maswala ya wanyama , ambapo waliwachukua jamaa wawili ambao wanakimbia zaidi huko Florida
Hivi ndivyo ilivyo kuwa
Hapatoshiiii hapa... Tazama Duma huyu akikimbia na kutimua mbio zake zote lakini ziliishia sakafuni pale Chris Johnson alipo mbwaga vibaya katika Mbio hizo ambazo mwanadamu alionekana ndiye anakimbia zaidi kuzidi wanyama hao.
"Du Wanadamu Hatari sana yani kumbe ndivyo wanavyokimbia" ni kama hawa Duma walikuwa wakiyawaza maneno haya
Hawa ndio Jamaa waliowatoa Nje Duma hao katika mbio