
Diamond, baada ya kuandamwa na mafashion police kutoka kila pande pamoja na mashabiki wake kuhusu suruali yake aliyovaa kwenye harusi ya P-Square (pichani), leo hii ameitinga tena na kurusha picha Instagram akiambatanisha na kadua ili watu wasimchambe.