WASICHANA WATANO WAKUTWA WAMEKUFA KATIKA CHUMBA KIMOJA ..!! Katika hali ya kusikitisha wasichana watano walio kuwa wamelala katika chumba kimoja huko nchini Nijeria wamekutwa wamekufa, huku ikisemekana chanzo cha kukutwa na umauti huo ni kukosa hewa kabisa katika chumba hicho walimokuwa wamelala. SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO