Jionee mwenyewe hapo ilikuwa jana usiku kwenye show yao hapa dar ...dada kwenye picha alipata bahati ya pekee ya kutukiwa upendo na Peter wa P-square na kupewa jina la Onyinyee...nakupewa Pete....mmmhh Kazi kweli kweli Nani zaidi hapo kati ya Lola mke wake na Huyu....?
PETER WA P-SQUARE APAGAWISHWA NA BINTI WA KIBONGO AMVISHA PETE JUKWAANI