|
Lady Jaydee aka Anaconda amemshukia January Makamba live mara baada ya mheshimwa huyo kuandika post inayo husu kupromte wamamuziki na wasanii wa Tanzania kupitia twitter yake. Hebu cheki mambo yalivyo kuwa. |
Duh Anacoda katisha live.
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO