NIMECHOKA NA WAPENZI WA KUKUTANA MITANDAONI
Mi nimechoshwa na wasichana wa humu
mtandaoni mana wa kwanza alikuwa mwizi, wa pili alikuwa malaya wa
kutupwa ,wa tatu mpenda hela ka amezaliwa kwenye ATM wa mwisho ana
majini ...Daah Mechoka Mie
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO