Hii itakuwa ni kwa mara kwanza msanii wa muziki wa Tanzania kuwa followed na Rais Barack Obama kwenye twitter ambaye ni mpenzi mkubwa wa mtandao huo.
Obama ambaye anakawaida ya ku-follow watu mbalimbali ambapo ana followers zaidi ya millioni 40 na ana-follow zaidi ya watu laki sita.
Vanessa Mdee ameingia kwenye list ya watu laki sita ambao Rais Barrack Obama ana wa-follow kwenye twitter.