MWANADADA mwigizaji wa filamu Swahiliwood Flora Mvungi ambaye ana mtoto na mume ambaye pia ni msanii wa filamu na Muziki Bongo H.Baba amesema kuwa wengi waliombea mabaya ndoa yake na mumewe lakini hadi sasa dua zao zimeshindwa na anajua kuwa wanaweza kuwa wanaona aibu baada ya ndoa yao kudumu na kuzaa matunda.
Flora Mvungi
Flora Mvungi
Flora Mvungi akiwa katika pozi.
Flora Mvungi 538 p

Flora Mvungi, H.BabaFlora akiwa mumewe H.Baba
Tanzanite H. Baba
Mtoto wa Flora Mvungi Tanzanite.
Unaweza kuwa na marafiki lakini ndio hapo hao wanaokuombea mabaya katika maisha yako ili usifanikiwe na upo nao na kuna wakati wanajifanya wanakupa ushauri wakati katika nafsi zao wanakuombea ufeli kisha wacheke baada ya wewe kuanguka, lakini kwetu wamechemka tunapenda na mume wangu na mtoto wetu Tanzanite,”anasema Flora.
Msanii huyo anasema kuwa maneno mengi sana yaliongelewa kwao kama hawezi kukaa pamoja yeye na mpenzi wake H.Baba lakini kwa mapenzi ya Mungu wamedumu wamezaa mtoto wao wampendaye Tanzanite, sasa jukumu lao ni moja tu kumjengea maisha bora kiafya na masomo pia hivyo wakipanga kuendeleza nyumba yao kujenga kwani familia imekua na kuhitaji umiliki wa nyumba yao na si kuishi katika nyumba za kupanga ambazo Flora anasema kuwa zina kero sana,


"LIKE HAPO CHINI KWA HABARI KALI ZAIDI"
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
 
Top