Hii ni maiti nyingine iliyozua kizaa zaa nchini Kenya baada ya kugoma kuzikwa.....!
Zaidi ya magari 10 yalishindwa kuisafirisha maiti hii na ndipo ndugu wa marehemu akiwemo dada yake Kitinda walipompigia magoti marehemu wakimuomba afungue njia ili akapumzike kwa amani.
Tazama video hapo chini: