Mkutano wa Mh Mbowe-Mwanza

Kuna mambo ya msingi namna ya kuwashirikisha wadau mbalimbali ambao ni committed and competent ili kuendelea kuhakikisha kuwa chama kinakuwa imara zaidi. Mkakati wa kuhakikisha Kanda zinakuwa imara ni kuwa na watu wawajibukaji zaidi ambao wataweza kusimamia sera na mikakati ya chama.Ni dhahiri Chama ni imara sana.Chadema

SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
 
Top