Unakuta upo mapenzini na Binti unampenda kupindukia na yeye unaona anakupenda unamfanyia kila kitu unamtoa katika hali fulani na kumpeleka katika daraja fulani kwa mfano unamsomesha mpaka anapata degree ukitegemea labda akimaliza mtaoana na kusaidiana maisha lakini pindi anapomaliza tu na kupata kazi nzuri anaanza kukuonyesha madharau na kuanza kutoka na watu wengine ,,wewe unakuwa Fala tu tena Boyaaa la kutupwa ....Embu niambie hapo utachukua hatua gani?
KUJIUA NA KUUA KWA BASTOLA KWA WAPENZI KUNAANZIAGA HAPA....SOMA UELEWE