HII NI KAULI YA JK WAKATI WA KAMPENI 2010

.."ni heri Dr. Willibrod Slaa ashinde na aingie Ikulu, kuliko Tundu Lissu kushinda ubunge na kuingiaBungeni"......Jakaya Mrisho Kikwete, Oct. 2010.

HII HAPA CHINI NI ALICHOSEMA JK WAKATI WA MCHAKATO WA KATIBA MPYA

kauli hiyo ya Lissu ni uzushi, uongo na uzandiki wa hali ya juu huku akisisitiza kuwa Lissu alitoa kauli hiyo ili kupotosha ukweli na pengine isaidie kujenga hoja yake ya kutaka Rais asiteue wajumbe 166 wa Bunge Maalum la Katiba.

LISU AKAJIBU

“Sasa hapo uongo na uzandiki wangu ni nini, labda hao wawakilishi wa TEC na CCT walisema uongo, hata wawakilishi wa Shirikisho la Vyama vya Walemavu Tanzania nao waliieleza kamati kuwa majina waliyoyapendekeza, sio ambayo Rais aliteua” alisema Lissu.
CONCLUSION
.."ni heri Dr. Willibrod Slaa ashinde na aingie Ikulu, kuliko Tundu Lissu kushinda ubunge na kuingiaBungeni"......Jakaya Mrisho Kikwete, Oct. 2010.

SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
 
Top