Zuhura Gora Zuhura Gora ambaye ni model na actress nchini amemshukia Nisher ambaye ni director na producer chipukizi wa video za muziki wa Bongofleva baada ya kudaiwa kujilinganisha kiubora kwa kazi na Adam Juma ambaye alileta mabadiliko ya kutengeneza video bora za muziki wa Bongofleva nchini. Issue hiyo iliwafanya Nisher na Adam Juma waanze kutupiana maneno kwenye mitandao ya kijamii na blogs kuanza kuandika habari hizo. 

Zuhura Gora
lakini Nisher ambaye pia ana kazi nzuri licha ya uchanga wake kwenye fani hiyo alikaririwa na Bongo5 akisema kuwa watu walimuelewa vibaya na wala hakumaanisha watu walichotafsiri ingawa wengine walisema sio kweli anajibaraguza tu ila alimaanisha hivyo hivyo. Kupitia mtandao mmoja wa kijamii Zuhura ambaye ni mpenzi wa Hemedy, video model wa wimbo wa Kamili Gado wa Professor J na pia anatarajiwa kuonekana kwenye tamthilia ya Siri Ya Mtungi season 2 aliandika " Hey Nisher o vyovyotee unavyojiita stop kum-diss my boss coz humfikii hata theluthii hujishtukiii kujifananisha na Adam Juma, nyooo mpxiiiieeww jipangeee usiwe mburulaaa muoneee umeniboa for this haki ya Mungu walahi umenitibua"
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
 
Top