Hizi ni baadhi tu za picha zikiwaonyesha wasanii waliojitokeza kumuunga mkono msanii mwenzao Chege wakati akishoot video yake mpya “CHAPA NYINGINE” maeneo fulani ya pande za Dar es Salaam na Dir wa video hii ni Adam Juma kutoka Visual Lab Next Level. Chege anawaomba mashabiki wake wakae mkao wa kupakua kwani kichupa ndio kwanza ikawekwa viungo
Home
»
»Unlabelled
» HAYA NDIO MAANDALIZI YA VIDEO MPYA YA CHEGE "CHAPA NYINGENE" MASTAA KIBAO WAMO CHEKI HAPA...!!!