Binti mmoja ambaye ni mfanyakazi wa ndani ( Housegeli ) amenaswa live na kamera zilizofungwa jikoni na bosi wake akikojoa ndani ya jiko na kisha kuuchukua mkojo na kuuchanganya na chakula cha bosi wake.....
Kwa mujibu wa maelezo ya bosi huyo ( jina limehifadhiwa ) , kamera hizo za siri zilifungwa jikoni mwake siku chache baada ya kustushwa na mienendo ya mfanyakazi huyo.
Angalia video fupi hapo chini ya unyama wa huyu housegirl.