BASI lenye namba ya usajili T848 ASZ lilipinduka baada ya kuacha barabara na kuingia vichakani wakati lilipokuwa likivutwa baada ya kuharibika, Ajali hii ilitokea katika kijiji chaManga Mkoani Tanga barabara ya kutoka Dar kuelekea Tanga, Inasemekana halikuwa na abiria yeyote ni Dereva na Konda tu ndio waliyonusurika kifo katika ajali hiyo.
PICHA NA MASAINYOTAMBOVU