MZEE huyu wa jamii ya kabila la wamasai aliyetambulika kwa jina la ''Tulito'' Mkaazi wa KIAnjia panda ya kuelekea uwanja wa ndege wa Kilimanjaro International Airpot, Leo mda mfupi uliopita amepata ajali mbaya ya kugongwa na fuso alipofanya jaribio la kuvuka barabara hio ya lami ambayo magari huenda mwendo kasi, Kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka mkoni kilimanjaro 


kimedai kwamba gari hilo aina ya FUSO halikusimama baada ya kumgonja mzee Tulito lilitokomea..! Raia waliokuwa karibu na eneo la tukio hawakufanikiwa kunasa walau hata namba za gari hilo, Mzee tulito aliwahishwa Hospitali wilayani boma kwa matibabu zaidi.
CHANZO : MATUKIO NA MICHAPO
"USISAHAU KU-LIKE HAPO CHINI KWA HABARI KALI ZAIDI"
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
 
Top