Mimi ni Msichana wa miaka 19 Nilipoingia 4m 5 nimesoma shule ya girls only...nilimpenda rafiki yangu mmoja sanaaaa kuliko wote...nilimpa zawadi nyingi hata wakati wa likizo nilikuwa namtembelea kwao..nilimpenda sana...kila tukigombana tunasameheana.juzi aliniboa kidogo nikamtumia sms za hasira za kwamba cmpendi tena amen ila badaae hasira zilipoisha nkajikuta nalia sana kumpoteza rafik yangu nilimuomba msamaha ila hakunijibu bkoz sms nilizomtumia zilikuwa mbaya sana.Nimemuomba msamaha ila hajanijibu..bado nampenda sana yaaani hata boyfriend wangu simpendi kama navyompenda huyu rafiki yangu japo si wapenzi ila namfeel sana yaaani sometime natamani nimkiss japo ni msichana mwenzangu ...Naogopa jamani nishaurini ama ndio hizi wanazosema dalili za Usagaji
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
 
Top