Ho Zhiliang, 24, raia wa China amezaliwa huku moyo wake ukiwa unaota maeneo ya tumboni kama unavyo ona kwenye picha. Kijana huyu ana subiri upasuaji ili kuweza kurekebisha kiungo hicho na kukirudisha mahali kinapotakiwa kuwa.


Kweli Mungu ni wa ajabu sana maana inasemekana watoto wengi wanao zaliwa na tatizo hili hufa siku chache baada ya kuzaliwa lakini imekuwa tofauti kwa huyu kijana ambaye ni kinyozi na ameamua kuishi maisha yake na hali hiyo hadi pale alipo soma kwenye gazeti moja kwamba hali hiyo inaweza rekebishwa kwa opareshi ambayo ndo anasubiria.

Hii si kesi ya kwanza kutokea huko China.
-Jestina~George
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
 
Top