Hivi karibuni kumekua na mzozo juu ya vazi jipya (hapo pichani) ambalo kama linavyoonekana
linaacha sehemu kubwa ya mwili wa mvaaji(mwanamke) kuwa wazi.
Vazi hili, ambalo inaaminika lilibuniwa huko Marekani linaletashida sana kwani hua linachangia katika kuamsha vishawishi vya ngono...
Haijulikani kama vazi hili limeshatinga ndani ya ardhi ya bongo....,