
 Pichani
 ni Diamond Platnumz msanii kutoka bongo akiwa na bwana harusi Peter wa 
Psquare pale walipokutana huko Lagos Nigeria kwenye harusi ya Peter. 
Diamond yupo nchini Naija kwaajili ya utengenezaji wa video yake mpya ya
 wimbo Number One remix aliyomshirikisha msanii kutoka huko huko Naija 
anaitwa Davido. Nadhani tutegemee mambo mazuri sana kutoka kwa Diamond
 Emanuel Adebayo & Diamond
 Diamond & Iyanya
 Peter & Emanuel Adebayo



