- Juu ya Firefox window, Bonyeza button kisha chagua
- Bonyeza panel.
- Weka alama ya pata kwenye Use a master password.

4. Window ya kubadili password itafunguka na utaingiza password unayotaka kuwa master na utairudia kisha utabonyeza OK

5. Hapo utakuwa umelinda password zako.