Jinsi ya ku-install window 7 au 8 kwakutumia flash bila ya programu yoyote.

 Unachotakiwa ni:
1. Flash yako iwe na GB 4
2. DVD ya window 7 au 8

Stepu ya 1: Chomeka fashi yako katika computer na futa kila kitu.

Steou ya 2: Fungua command promt. Kama unatumia window 7 au 8 fungua kama adminstrator
*Nenda katika start-All program-Accesories-Right click on command promt na chagua "Run as administrator"

Stepu ya 3: Katika command promt andika hivi:
DISKPART- Hapo itafunguka Microsoft Diskpat utility
Andika tena
LIST DISK-Hapo iakuonesha namba za disk ambazo zipo katika system yako chagua flash yako ni namba ngapi


Stepu ya 4: Andika comand hizi moja baada ya nyingine
CLEAN
CREATE PARTITION PRIMARY
SELECT PARTITIN 1
ACTIVE
FORMAT F5: NTFS QUICK
ASSIGN
EXIT
Hapo sasa minimize comand alaf endelea na step nyngine

Stepu ya 5: Ingiza disk ya windo 7 au 8 na angalia herufi ya dvd drive yako. Andika comand hizi H(herufi ya dvd drive yako):CD BOOT
BOOTSECT.EXE/NT60 M:(M ni herufi ya flashi drive yako)

Stepu ya 6: Kopi sasa vitu vyote kutoka katika dvd yako ya windo 7  au 8 kwenda katika flashi yako. Steou ingine nenda katika BIOS then change boot priority kwenda kwenye "USB Boot"
Hapo flash yako itakuwa bootable kama hujaelewa comment hapo chini kwa msaada zaidi.Ahsanten
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
 
Top