Leo nitawaelekeza jinsi unaweza kufunga folder zakwa kwa kutumia command mtu mwingine asiweze kufungua mambo yako.
Stepu ya 1: Fungua comandi ingia katika window starts-all program-accesories-chagua command promt au shortcut bonyeza window button na R na andika cmd bonyeza enter.
Stepu ya 2: Katika command kama folder lipo katika desktop andika "dir" na bofya enter zitaonekana folder ukiiona desktop bofya "cd desktop" then enter utaona folder zote zilizopo katika desktop.
Stepu ya 3: Andika "cacls jina la folder /p everyone:f "then bofya enter italeta (are you sure <Y/N>) bofya "Y" kuku bali hapa folder litakuwa limefungwa tayari. Check screenshot hapo chini.
Note: Hapo chini hiyo ngama ni jina la folder langu
Stepu ya 4: Hapa nitawaelekeza jinsi ya kulifungua folder lako andika "cacls jina la folder /p everyone:n"
bofya enter italeta (are you sure <Y/N>) bofya "Y"
Kama utakwama sehemu usisite ku-comment kwa msaada zaidi. Ahsanten