Huu ndiyo muonekano mpya wa mwanadada Jokate Mwegelo, Swahilitz inakupa fursa ya kutazama muonekano mpya wa Jokate ikiwa ww ni kama shabiki wake mkubwa. Umeupenda muonekano huu au hujaupenda?? huyo ndiyo Jokate Mwegelo, Mfollow instagram kwa kubofya hapa usije ukawafollow matapeli maana wamejazana mitandaoni
Home
»
»Unlabelled
» JOKATE MWEGELO KWELI MWANAMITINDO.., TAZAMA MUONEKANO WAKE MPYA ALIVYOTOKELEZEA...!!