''Christina Milian''
MREMBO huyu hapa ndipo alipoanza kuvurugikiwa...!!!
Glass za kilaji zilivyozidi kupanda kichwani mambo yalianza kuwa hivi...!!!
Watu weweeeeeeeeeeeeeee....!!! Mambo hadharani..! Ama kweli pombe haichagui mdhungu wala mnaniliu...!